Kocha
Simba, Zdravko Logarusic akiwasili kwenye mazoezi ya timu hiyo katika
Uwanja wa Kinesi jijini Dar es Salaam. Kocha huyo amesaini mkataba wa
miezi sita kuchukua nafasi ya Abdallah Kibadeni.
Zdravko Logarusic akiingia uwanjani kuanza kazi yake.
Akiwasalimia mashabiki wa Simba.
Akisalimiana na viongozi wa Simba.
Wachezaji wa Simba wakijitambulisha kwa kocha wa timu hiyo kabla ya kuanza mazoezi.
Zoezi la kujitambulisha kwa kocha likiendelea.
Wachezaji
wa Simba wakimsikiliza kocha mpya wa hiyo, Zdravko Logarusic wakati wa
mazoezi ya timu hiyo yaliyofanyika kwenye Uwanja wa Kinesi jijini Dar es
Salaam.
Maelekezo ya kocha.
Kusikiliza maelekezo.
Wachezaji wakianza mazoezi.
Aliyekuwa kipa wa timu ya Yanga, Yew Berko (kushoto) akijifua na wenzake wakati ea mazoezi ya Simba.
Aliyekuwa kipa wa timu ya Yanga, Yew Berko (kushoto) akijifua na wenzake wakati ea mazoezi ya Simba.
0 comments :
Chapisha Maoni