Mkutano
 mkubwa wa kihistoria kwa CHADEMA Wilayani Kyela uliofanyika Jumatatu 
16/9/2013 kwenye viwanja vya siasa mjini Kyela. Mgeni rasmi akiwa Katibu
 Mkuu Mhe. Dr. Slaa akiambatana na makamanda kadhaa wakiwemo wabunge 
machachari Mhe. Sugu na Mhe. Silinde. Mkutano huo ulikuwa ni mahsusi 
kuzungumzia suala la kutolewa nje ya ukumbi wa Bunge kwa  Mhe. Mbowe
 na kudhalilishwa kwa Mhe. Sugu bungeni.  
 
Jumamosi, 21 Septemba 2013
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni
                            (
                            Atom
                            )
                          
Jumamosi, Septemba 21, 2013
Unknown




0 comments :
Chapisha Maoni