RIPOTI YA SIRI JUU YA ZITTO KABWE
CHADEMA
CHADEMA
UCHUNGUZI WA MWENENDO WA KISIASA WA ZITTO Z. KABWE NDANI NA NJE YA CHADEMA.
UTANGULIZI:Tangu mwaka 2008 mwenendo wa kisiasa wa Zitto Zuber Kabwe ulianza kutiliwa shaka na wanachama wa CHADEMA ndani na nje ya chama, Hili lilipelekea kuibuka maneno ya chini kwa chini kuwa anakisaliti chama.
Hilo liliilazimu timu ya kijasusi ya chama kuanza kufuatilia nyendo zake kwa ukaribu zaidi usiku na mchana ili kujiridhisha pasipo kuacha chembe ya mashaka. Ifahamike kuwa chama kina idara ya ulinzi na usalama wa chama na viongozi wake yenye uwezo wa kufuatilia nyendo za majasusi wa nje na viongozi na wanachama wake popote walipo kwa masaa 24. Baada ya kujiridhisha kuwa mwenendo wake ni wa mashaka, bila kusita timu ya ujasusi ilianza kazi rasmi ya ujasusi dhidi ya nyendo zote za Zitto Zuberi Kabwe
Hilo liliilazimu timu ya kijasusi ya chama kuanza kufuatilia nyendo zake kwa ukaribu zaidi usiku na mchana ili kujiridhisha pasipo kuacha chembe ya mashaka. Ifahamike kuwa chama kina idara ya ulinzi na usalama wa chama na viongozi wake yenye uwezo wa kufuatilia nyendo za majasusi wa nje na viongozi na wanachama wake popote walipo kwa masaa 24. Baada ya kujiridhisha kuwa mwenendo wake ni wa mashaka, bila kusita timu ya ujasusi ilianza kazi rasmi ya ujasusi dhidi ya nyendo zote za Zitto Zuberi Kabwe
MAMBO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI DHIDI YA ZITTO KABWE.
Kumfuatilia yeye binafsi nyendo zake.
Kufuatilia mawasiliano yake ya simu.
Kufuatilia mawasiliano yake ya barua pepe.
Kufuatilia pato lake nje ya kazi zake halali za kibunge.
Kufuatilia mawasiliano yake ya simu.
Kufuatilia mawasiliano yake ya barua pepe.
Kufuatilia pato lake nje ya kazi zake halali za kibunge.
SEHEMU YA KWANZA 2008
Chombo chetu cha ujasusi tulichokipandikiza kwa siri katika nyendo zote za Zitto Kabwe na ndani ya vikao vya mwanzo kabisa vya Zitto na viongozi serikalini, nahata vile vikao muhimu vya idara ya ujasusi ya chama cha mapinduzi (ccm), kinatupa fursa ya kuweka msingi wa kuimarisha chama cha CHADEMA na kutenda haki kidemokrasia kwa maslahi ya chama na Taifa kwa ujumla:
Mnamo Jumatatu ya tarehe 16/6/2008 saa 09:46 asubuhi, Mh Zitto Kabwe kupitia simu yake ya kiganjani namba +255754787550 alipokea simu kutoka kwa Ramadhani Ighondu mwenye namba +255717760473 ambaye ni afisa Usalama wa Taifa anayefanya kazi ikulu hivi sasa. Alijitambulisha kuwa yeye ni Usalama wa Taifa ametumwa na mkuu wake wa kazi aje aongee na Zitto, Maelezo ya msingi katika simu hii ilikuwa ni bwana Ramadhani Ighondu kuomba miadi ya kuonana kutokana na agizo la mkuu wake wa kazi.
Siku sita baadae yaani Jumatatu ya tarehe 23/6/2008 saa 07:52 asubuhi, Zitto alipigiwa tena simu na Ramadhani Ighondu akimkumbusha maongezi yao waliyo fanya siku 6 zilizopita na kumuomba siku hiyo jioni waonane, ingawa Zitto alionekana kusita kidogo lakini baadae alikubali, Walikubaliana wakutane Sea Cliff Hotel, ilipofika jioni ya siku hiyo Zitto akiwa na marafiki zake wawili Omar Lyasa na Abdalah Said walifika Sea Cliff Hotel wakaketi na kuagiza vinywaji, Baada ya kama dakika kumi hivi Zitto alipokea simu ikimuelekeza alipo bwana Ramadhani Ighondu kisha Zitto akawaambia marafiki zake wamsubiri kidogo, akaondoka kuelekea aliko elekezwa…..
Mashariki mwa lango kuu la kuingilia Sea Cliff Hotel mita kama tatu tu kuna mlango mdogo unaoelekea kwenye vyumba maalumu (VIP), chumba namba 8 ndicho Zitto alichokuwa anaelekezwa kwa simu kuingia, chumba hiki kina meza moja na sofa zilizo zunguka meza ile zenye uwezo wakukaliwa na watu watano hadi sita, Ndani ya chumba kile Zitto anakutana na watu watatu ambao ni Steven Wasira, Ramadhani Ighondu na Abdalla Punja (hawa wote ni TISS)
Mazungumzo yao ndani ya chumba hiki yalianza maramoja, akianza Mr Ighondu kueleza sababu za wao kumuita Zitto, kikubwa ilikuwa ni “bwana Zitto, serikali (ikulu) inakutaka uache kuibana na kuishurutisha hasa kwa hili suala la Buzwagi”. Tunaomba kujua shida yako kubwa ni nini?” Ighondu alihoji, Katika majibu yake Zitto anajibu, “Mimi napigania haki za watanzania, nimechaguliwa na wanakigoma na watanzania wameniamini ni wawakilishe hivyo”, Lakini mashambulizi ya ushawishi yalipozidi Zitto alilegeza msimamo wake.
Katika kikao hiki kilichochukua masaa mawili, Zitto anaonekana kusita sana na anaomba apewe muda akafikirie aliyoitiwa, wote wanaafiki na kukubali ombi la Zitto na kikao kinaahirishwa.
Siku tatu tu baada ya kikao cha Hotel ya Sea Cliff, yaani tarehe 27/6/2008 Zitto anakutana na Naibu Mkurugenzi wa TISS Ndugu Jack Zoka jijini Arusha, hiki sio kikao chao maalumu bali wamekutana kwa mara ya kwanza wote wakiwa kwenye shughuli za kitaifa, Katika mazungumzo yao wanaonekana ni watu wanaofahamiana japo si kwa undani, Baada ya maongezi ya dakika kadhaa wakiwa wamesimama, Mr Zoka alimuuliza “Vipi vijana wangu walikupa ujumbe, umefikia wapi?” Zitto aliitikia kwa kucheka na kusema “yap nipo tayari, lakini nihakikishieni usalama wangu” Katika maongezi haya, Zoka anasikika akisema“Ondoa shaka” Kisha Mr Zoka anamuagiza Zitto kuwa kesho kutwa yake aende kwa Charles Kimei (Mkurugenzi CRDB Benki) pale Makao makuu, atayakuta maagizo yake huko.
Tarehe 30/6/2008 majira ya saa 12:22 za alasiri, Zitto akiwa ameongozana na kijana mmoja aliyetambuliwa kwa jina la Rajabu Abdala anaingia eneo la CRDB Benki mtaa wa Azikiwe, na kwenda moja kwamoja kuonana na Bw Kimei, baada ya salamu haikuchukua muda mrefu, Zitto akapelekwa katika moja ya vyumba maalumu vya bank hiyo kwenye jengo hilohilo la Azikiwe, baada ya kufika katika chumba hicho Zitto alihamaki kuwakuta watu wawili katika chumba hicho, mmoja alikuwa ni mfanyakazi wa bank hiyo aliyetambuliwa kwa jina la Maselina K. Kombe na mwingine hakuwa mgeni machoni mwa Zitto, alikuwa ni Ramadhani Ighondu yule wa TISS waliyekuwa naye kwenye kikao cha awali kule Sea Cliff Hotel wiki chache zilizopita, Zitto alikabidhiwa Briefcase nyekundu iliyokuwa imesheheni pesa halali za kitanzania kiasi cha Shilingi milioni 250.
Wakati hayo yakitendeka yule kijana aliyekuja na Zitto alikuwa kwenye gari aina ya Toyota Mark 11 No T 134 AAB yenye rangi nyeupe na vioo vyeusi (Tinted). Baada ya makabidhiano yaliyochukua kama dakika 10 tu, Mr Ighondu alimwambia Zitto, “tunataka utulivu, mengi mazuri yanakuja utafurahia kijana,” Na kisha Zitto akatoka na begi lake (Briefcase) na kuingia nalo katiga gari ile na kutokomea.
Uchunguzi umeonyesha kuwa pesa ile aliyokabidhiwa ndugu Zitto, ilitoka katika akaunti Namba 0J56708968923 yenye jina la Shani Maya, ambapo inaonyesha kuwa akaunti hii ilifunguliwa CRDB tawi la azikiwe tarehe 25/6/2008 saa 10:14 asubuhi, kisha tarehe 27/6/2008 iliingizwa kiasi cha pesa za kitanzania milioni 400. Na tarehe 30/6/2008 pesa hizo zilitolewa zote na akaunti hii ilifungwa. Madhumuni ya pesa hii kutoka CRDB kwenda kwa Zitto yanathibitishwa na kikao cha 23/6/2008 pale Hotel ya Sea Cliff kuwa ni kupunguza kasi ya Zitto kuibana serikali hasa anapo kuwa bungeni. Na kweli kasi yake iliyozoeleka kwenye kuibana serikali akiwa bungeni ikapungua na kuweka msingi wa ujenzi wa mashaka juu ya mwenendo wake wa kibunge.
SEHEMU YA PILI 2009
Mnamo Jumatatu ya tarehe 30/11/2009 saa 04:30 asuhuhi wakati wa maandalizi ya uchaguzi wa mkuu wa 2010, idara ya ujasusi ya ccm ilikutana kwa siri pale Moven Pick/SERENA Hotel, ndani ya idara hii wakiwamo Jack Zoka, Wilson Mkama, Kingunge Ngombale Mwiru, Jakaya Kikwete, Nape Nnauye, Fred Kimati, Steven Wasira, Ramadhani Ighondu, Martin Palakyo, Mwigulu Nchemba, Ahamed Msangi na Abdalla Punja. Katika kikao hiki yalijadiliwa mengi sana, lakini kubwa lilikuwa nikukabiliana na vyama vya upinzani hususani CHADEMA, zilipangwa mbinu nyingi sana juu ya Chadema, Mbinu hizo ni kama ifuatavyo:
Kuwanunua wagombea ubunge na Udiwani (Mtakumbuka wagombea wetu kadhaa walikuja kununuliwa na chama kina ushahidi kwenye hili).
Kuwanunua VIONGOZI wajuu wa CHADEMA.
Kutumia TISS kutisha wagombea na wanachama wa Chadema (Hii ilikuwa ni kuwakamata au kuvuruga mikutano).
Kuwaua baadhi ya wafuasi wa Chadema, viongozi wa Chadema na wabunge.
Kuwanunua VIONGOZI wajuu wa CHADEMA.
Kutumia TISS kutisha wagombea na wanachama wa Chadema (Hii ilikuwa ni kuwakamata au kuvuruga mikutano).
Kuwaua baadhi ya wafuasi wa Chadema, viongozi wa Chadema na wabunge.
Lakini walitilia mkazo zaidi njia ya kwanza ,ya pili na ya tatu ambapo kikao kilijiridhisha kuwa mmoja wa VIONGOZI wa Chadema ambae ni Zitto Kabwe ni mtu wao ambaye wamesha anza kumtumia, kikubwa liandaliwe fungu tu kwa ajili yakuanza mikakati yao, Waliafikiana mambo mengi kwaajili ya uchaguzi wa mwaka ambao ungefuata, na wakakubaliana mambo kadhaa ambayo walimuagiza Mr Zoka akamwambie Zitto nini cha kufanya ili kupunguza nguvu ya upinzani.
Kwa upande wake Zoka alikiambia kikao kuwa Zitto amemthibitishia kuwa yeye anawafuasi wakutosha ndani ya chama ambapo watamuunga mkono kwa lolote hivyo kikubwa ni pesa tu. Lakini kwanza kikao hicho kilimtaka Mr Zoka amwambie Zitto kuwa taarifa zote zinazoihusu Chadema na za kila vikao vya ndani vya chama zinatakiwa pia ziifikie timu hiyo ya kijasusi ya ccm, pili walitaka Zitto apunguze ushiriki katika majukwaa ya chama na shughuli nyingine za chama. Baada ya kikao sasa ulikuwa ni utekelezwaji wa maadhimio yao.
Zoezi la kikao cha tarehe 30/11/2009 linaonyesha kuzaa matunda hasa baada ya kubainika mawasiliano ya karibu sana kati ya Zitto na Jack Zoka, Kwamfano: Jumamosi ya tarehe 6/12/2009 saa 03:43 asubuhi Zoka kupitia namba yake ya simu +255756809535alimpigia simu Zitto kupitia simu yake ya kiganjani ambayo ni +255754787550, wakati wa mawasiliano yao haya ya simu Zitto alikuwa Tabata na maongezi yao yalihusu kikao cha 30/11/2009 na kile walichoamua timu ya kijasusi ya chama (ccm) na matakwa yao kwa Zitto. Ndani ya maongezi yao yaliyochukua dakika 68, Zitto anasema, “Mr kazi hii ni nzito, vipi mmeongeza hela? Isije kuwa kama ile ya mwaka jana.” Anajibiwa na Zoka kuwa“ondoa shaka una dili na Jamhuri, hela sio tatizo”
Lakini zaidi Zitto anamshauri bwana Zoka kuwa utaratibu wa uchukuaji wa pesa ubadilike, “Mr Jack ile staili ya uchukuaji pesa kule CRDB mwaka jana ilinitisha kidogo halafu hii isije ikabumburuka vyombo vya habari vipo makini kweli sasa hivi” Anajibiwa na Bwana Zoka kuwa “Tunazo njia nyingi sana ambazo si TAKUKURU wala polisi wanaoweza kubaini, tusikilize sisi, tutakacho kuambia ujue ni salama, Haya Mr (Zitto) wewe unayajua mazingira vizuri katika nchi moja ya Ulaya?, au unaweza kutafuta mtu unae mwamini huko ili atumiwe yeye hiyo pesa na awe wa kuaminika ili tumtumie kwa vipindi hivi vyote, kisha uifuate huko au uangalie mwenyewe njia sahihi ya kuichukua huko” Suala la kumpata mtu Ulaya lilionekana kama zito kidogo kwa Zitto, kwani aliomba wawasiliane kesho yake ili awe na jibu la uhakika.
Tarehe hiyo hiyo 6/12/2009 ya Jumamosi saaa 23:05 usiku, Zitto kupitia simu yake ya mkononi namba +255754787550, alipiga namba +4915739444853, kimaongezi walionekana ni watu wanafahamiana sana, alikuwa anaongea na mwanamke ,waliongea mengi lakini kubwa lilikuwa ni Zitto kuomba kupitisha hela yake kwenye akaunti ya huyu mtu. Mwanamke huyu alihoji kama pesa hiyo ni nyingi na haina madhara? Lakini alijbiwa sio nyingi na haina madhara kwakuwa inatoka serikalini na chama tawala, Mwanamke huyo alizidi kuhoji zaidi, “sasa vyombo vya dola vya hapa Berlin vikinihoji nitasema nimepata wapi?” Anajibiwa kuwa “Darling huniamini? Nimesoma na wewe na nimefanya kazi na wewe, lakini huniamini? Utasema umelipwa nchini Tanzania kwa kazi yako”, kisha katika maongezi ya hapa na pale dada akakubali na baada ya dakika kumi akamtumia akaunti namba 033B 33093101 Berliner Bank German.
Baada ya kuipata akaunti hii Zitto hakuchelewa, akaipeleka kwa Mr Zoka kwa njia ya ujumbe wa maandishi (sms), baada ya dakika 5, Zoka akampigia simu Zitto kupitia namba+255756809535 nae Zitto akapokea kupitia namba +255754787550, na mazungumzo yao yaliyochukua dakika 6 yakaendelea, Zoka aliuliza swali kuwa “Mwenye akaunti hiyo huko Ujerumani unamwamini na unamjua vema?” Majibu ya Zitto yalikuwa “Ondoa shaka Mr Jack nafanya kazi ya hatari na wewe , siwezi kukuangusha au kujiangamiza, huyu mtu nimesoma nae na ninamfahamu in and out” Zoka akajibu “ok”.
Jumatano ya tarehe 16/12/2009 majira ya saa 13:12 za mchana kwa Ujerumani akaunti namba 033B 33093101 Berliner Bank, ziliingizwa dola za kimarekani 266,000 pesa hizi katika uchunguzi zimebainika kuwa zilitoka Tanzania katika Benki ya NMB tawi la NMB House jiji Dar katika akaunti namba 2231604658 yenye jina la TSA, hii ni moja ya akaunti za siri za TISS, ambapo wao ndio huzisimamia akaunti zao zote kwa kutumia mawakala (TISS) walio ndani ya benki hiyo.
Kujiridhisha kuwa pesa hiyo ilifika Ujerumani, kunabainishwa na mawasiliano ya barua pepe kati ya Zitto Kabwe na yule mwanamke wa kijerumani aliyemtumia akaunti ya benki, anafahamika kwa jina la Andrea Cordes, mawasiliano yaliyofanywa tarehe 17 alhamisi saa 20:34 usiku ambapo Andrea kupitia barua pepe yake acodes@gmail.com anamwandikia Zitto kupitia barua pepe ya Zitto iitwayo zittokabwe@gmail.com , Andea anasema “Hey sweet, mzigo yako imefika, can we talk?” Ujumbe huu unajibiwa na Zitto saa 21:03 usiku huo kwakusema, “I’m so sorry my darling, nimechelewa kukujibu, I will call you soon”
Saa 23:23 Zitto Kabwe kupitia simu yake ya kiganjani namba +255754787550, alimpiga Andrea Codes kupitia namba +4915739444853, akimweleza kuwa anashukuru kwa mzigo kumfikia, lakini anataka kumpa utaratibu wa kuichukua hiyo pesa, ambapo alimweleza kuwa atakuwa anaichukua kidogo kidogo kila mwezi kwa njia ya Western Union kuanzia dola 20,000 hadi dola 50,000, wakati huo Andea Codes atakula kamisheni ya dola 25,000.
Uchunguzi wa ndani umebaini pesa hiyo ilitumwa kwa Zitto ndani ya miezi 8 kwa vipindi tofauti kupitia Western Union kama alivyoomba, na alikuwa anachukulia maeneo tofauti tofauti hapa jijini Dar, vilevile uchunguzi umebaini kuwa mwanamke huyu ni Mjerumani aliyewahi kuishi Tanzania na amezaa mtoto mmoja hapa Tanzania, Mwanamke huyu anaitwa Andrea Cordes, anaishi Mechernich Ujerumani, mtaa namba 134, nyumba namba 141, anafanya kazi UN Women Nationales Komitee Deutschland e.V. Shirika ambalo shughuli zake huendeshea pia Tanzania. Katika uchunguzi zaidi imebainika kuwa akaunti aliyomtumia Zitto ni ya kwake binafsi, katika ushahidi tuliobaini kupitia benki iitwayoBerliner Bank yenye Code No Hardenbergstraße 32, 10623 iliyopo mjini Berlin nchini Ujerumani.
SEHEMU YA TATU 2010Uhusiano usio wa kawaida na wa karibu wa Zitto na viongozi wa ccm, serikali na wale wa Usalama wa Taifa uliendelea kushamiri hasa kipindi cha kampeni na kipindi cha uchaguzi mkuu wa 2010, Mfano tarehe 7/9/2010 siku ya jumanne saa 11:21 asubuhi, Ahmed Msangi kupitia namba yake ya simu ya kiganjani +255784277884, alimpigia Zitto kupitia simu ya kiganjani namba +255754787550 waliongea mambo mengi japo kwa muda mfupi, na jambo kubwa lilikuwa ni “vipi kuna kipya ndani ya Chadema?” Zitto alijibu “yapo mengi lakini hayana impact kwa ccm” Msangi anajibu “Ok mr nikutakie siku njema”
Lakini mawasiliano ya simu yaliyochukua mda mrefu zaidi yalikuwa kati ya Zitto na Zoka yaliyofanywa tarehe 10/9/2010 siku ya ijumaa saa 07:04 jioni na mazungumzo yao yalichukua dakika 71, Mazungumzo haya yalifanywa wakati huo Zitto akiwa katika hoteli ya Blue Pearl Ubungo, Mr Zoka alitaka kujua mambo kadhaa kuelekea Uchaguzi mkuu, kwanza alimuuliza “Mr Zitto umejiandaaje, una timu ya kazi?” Zitto akajibu “nipo fiti kiakili na kimwili na nina timu ya kutosha, ondoa shaka juu yangu, kama ipo hiyo hela tumeni tu Ujerumani kwenye ile akaunti, na ningeomba kukutana na mwenyeti wenu (rais JK)” Zoka lijibu “hilo halina tabu nitalifikisha sehemu husika bwana Zitto”,
Uchunguzi umebainisha kuwa akaunti namba 033B 33093101 Berliner Bank ya Germaniliendelea kuingizwa pesa kwa nyakati tofauti kutoka Tanzania kupitia NMB akaunti namba 2231604658 yenye jina la TSA ambayo ni moja ya akaunti za siri za TISS.
Mfano: tarehe 29/9/2010 siku ya juma tano, kiasi cha dola 250,000 kiliingizwa kwenye akaunti hii 033B 33093101 ya Ujerumani, kutoka akaunti namba 2231604658 NMBTanzania,
Tarehe 06/01/2011 siku ya alhamisi, kiasi cha dola 240,000 kiliingizwa kwenye akaunti hii 033B 33093101 ya Ujerumani, kutoka akaunti namba 2231604658 NMB Tanzania,
Tarehe 21/6/2011 siku ya jumanne, kiasi cha dola 240,000 kiliingizwa kwenye akaunti hii 033B 33093101 ya Ujerumani, kutoka akaunti namba 2231604658 NMB Tanzania,
Tarehe 09/12/2011 siku ya ijumaa, kiasi cha dola 255,000 kiliingizwa kwenye akaunti hii 033B 33093101 ya Ujerumani, kutoka akaunti namba 2231604658 NMB Tanzania,
Tarehe 02/02/2012 siku ya alhamisi, kiasi cha dola 260,000 kiliingizwa kwenye akaunti hii 033B 33093101 ya Ujerumani, kutoka akaunti namba 2231604658 NMB Tanzania,
Tarehe 14/05/2012 siku ya jumatatu, kiasi cha dola 250,000 kiliingizwa kwenye akati hii 033B 33093101 ya Ujerumani, kutoka akaunti namba 2231604658 NMB Tanzania,
Tarehe 13/12/2012 siku ya alhamisi, kiasi cha dola 255,000 kiliingizwa kwenye akati hii 033B 33093101 ya Ujerumani, kutoka akaunti namba 2231604658 NMB Tanzania,
Uchunguzi umebainisha kuwa pesa zote zilimfikia Zitto kwa njia ya Western Union akitumiwa dola 50,000 mpaka dola 20,000 kati ya wiki mbili mpaka mwezi mmoja.
SEHEMU NNE: MATUMIZI YA PESA HIYO
Uchunguzi umezidi kubaini kuwa kuanzia mwanzoni mwa mwaka 2011, kutoka kuugwa mkono na wanachadema kama mwanasiasa makini, Zitto aliamua kuunda kundi la uasi ndani ya chama. Baadhi ya waliounda kundi hili ni:
Uchunguzi umezidi kubaini kuwa kuanzia mwanzoni mwa mwaka 2011, kutoka kuugwa mkono na wanachadema kama mwanasiasa makini, Zitto aliamua kuunda kundi la uasi ndani ya chama. Baadhi ya waliounda kundi hili ni:
Zitto Z. Kabwe +255754787550/756809535/713730256Juliana Shonza +255714669850/756359073
Habib Mchange +255762178678
Mtela Mwampamba +255718037358/755178927
Gwakisa Burton +255713316790
Eddo Makata +255757149043/655148758
Greyson Nyakarungu +255755023503
Adams Chagulani +255767137831
Deogratius Kisandu +255655025609
John M. Shibuda +255754465597
Kitila Mkumbo +255754301908
Exaud Mamuya +255767160685
Ben Saanane +255768078523
Habib Mchange +255762178678
Mtela Mwampamba +255718037358/755178927
Gwakisa Burton +255713316790
Eddo Makata +255757149043/655148758
Greyson Nyakarungu +255755023503
Adams Chagulani +255767137831
Deogratius Kisandu +255655025609
John M. Shibuda +255754465597
Kitila Mkumbo +255754301908
Exaud Mamuya +255767160685
Ben Saanane +255768078523
Timu ya upelelezi imebaini kuwa kundi hili lilikuwa linapokea fedha kutoka kwa Zitto kwa njia ya M-Pesa, Uchunguzi umebaini kuwa kuanzia 2011 kundi hili lilianza kutumiwa pesa na Zitto kwa njia ya M-Pesa kila mwezi, ambapo kila mwanakundi alikuwa akipokea kati ya 150,000/= mpaka 200,000/= , na ilipofika mwishoni mwa mwaka 2012 kundi hili sasa likawa linalipwa karibu kwa wiki,
Takwimu za malipo ya wafuasi wa kundi hili kutoka kwa Zitto kwa mwaka 2012 zinaonyesha walilipwa kwa njia ya M-PESA No+255756809535 hii ni namba mojawapo ya Zitto Zuberi Kabwe:
Tarehe 25/2/2012 saa 10:09 asubuhi, Zitto Kabwe kupitia +255756809535 aliwatumia shilingi 150,000/= wafuasi wa kundi lake, Juliana Shonza +255756359073, Habib Mchange +255762178678, Mtela Mwampamba +255755178927, Gwakisa Burton +255713316790, Eddo Makata +255757149043, Greyson Nyakarungu +255755023503, Deogratius Kisandu +255655025609, Adams Chagulani +255767137831, Exaud Mamuya +255767160685, Ben Saanane +255768078523,
Baada ya hapo saa 10:32 asubuhi hiyohiyo Zitto Kabwe kupitia namba yake ya simu+255756809535 aliwatumia shilingi 200,000/= Mkumbo Kitila +255754301908 na John Shibuda +255754465597
Tarehe 26/3/2012 saa 11:12 asubuhi, Zitto Kabwe kupitia namba yake ya simu+255756809535 aliwatumia shilingi 150,000/= wafuasi wa kundi lake, Juliana Shonza +255756359073, Habib Mchange +255762178678, Mtela Mwampamba +255755178927, Gwakisa Burton +255713316790, Eddo Makata +255757149043, Greyson Nyakarungu +255755023503, Deogratius Kisandu +255655025609, Adams Chagulani +255767137831, Exaud Mamuya +255767160685, Ben Saanane +255768078523, Baada ya hapo saa 11:43 asubuhi hiyohiyo Zitto Kabwe kupitia namba yake ya simu +255756809535 aliwatumia shilingi 200,000/= Mkumbo Kitila +255754301908 na John Shibuda +255754465597
Tarehe 20/4/2012 saa 09:11 asubuhi, Zitto Kabwe kupitia namba yake ya simu+255756809535 aliwatumia shilingi 150,000/= wafuasi wa kundi lake, Juliana Shonza +255756359073, Habib Mchange +255762178678, Mtela Mwampamba +255755178927, Gwakisa Burton +255713316790, Eddo Makata +255757149043, Greyson Nyakarungu +255755023503, Deogratius Kisandu +255655025609, Adams Chagulani +255767137831, Exaud Mamuya +255767160685, Ben Saanane +255768078523, Baada ya hapo saa 10:30 asubuhi hiyohiyo Zitto Kabwe kupitia namba yake ya simu +255756809535 aliwatumia shilingi 200,000/= Mkumbo Kitila +255754301908 na John Shibuda +255754465597
Tarehe 22/5/2012 saa 10:15 asubuhi, Zitto Kabwe kupitia namba yake ya simu+255756809535 aliwatumia shilingi 150,000/= wafuasi wa kundi lake, Juliana Shonza +255756359073, Habib Mchange +255762178678, Mtela Mwampamba +255755178927, Gwakisa Burton +255713316790, Eddo Makata +255757149043, Greyson Nyakarungu +255755023503, Deogratius Kisandu +255655025609, Adams Chagulani +255767137831, Exaud Mamuya +255767160685, Ben Saanane +255768078523, Baada ya hapo saa 11:02 asubuhi hiyohiyo Zitto Kabwe kupitia namba yake ya simu +255756809535 aliwatumia shilingi 200,000/= Mkumbo Kitila +255754301908 na John Shibuda +255754465597
Tarehe 28/6/2012 saa 13:51 mchana, John M. Shibuda kupitia namba yake ya simu+255754465597 aliwatumia shilingi 150,000/= wafuasi wenzake, Habib Mchange +255762178678, Mtela Mwampamba +255755178927, Gwakisa Burton +255713316790, Eddo Makata +255757149043, Deogratius Kisandu +255655025609, Adams Chagulani +255767137831, Exaud Mamuya +255767160685, Ben Saanane +255768078523, Greyson Nyakarungu +255755023503, Juliana Shonza +255756359073,
Baada ya Shibuda kuwalipa 28/6/2012 saa 13:51 mchana, sasa Zitto alibadili mfumo wa malipo ukawa wa TIGO PESA +255713730256 lakini viwango vilevile na mtiririko ulele.
Tarehe 22/7/2012 saa 08:17 asubuhi, Zitto Kabwe kupitia namba yake ya simu +255713730256 aliwatumia shilingi 150,000/= wafuasi wa kundi lake, Ben Saanane +255768078523, Adams Chagulani +255767137831, Juliana Shonza +255756359073, Habib Mchange +255762178678, Mtela Mwampamba +255755178927, Gwakisa Burton +255713316790, Eddo Makata +255757149043, Greyson Nyakarungu +255755023503, Deogratius Kisandu +255655025609, Exaud Mamuya +255767160685, Kisha saa 09:38 asubuhi hiyohiyo Zitto Kabwe kupitia namba yake ya simu +255713730256 aliwatumia shilingi 200,000/= Mkumbo Kitila +255754301908 na John Shibuda +255754465597
Tarehe 24/8/2012 saa 09:06 asubuhi, Zitto Kabwe kupitia ++255713730256 aliwatumia shilingi 150,000/= wafuasi wa kundi lake, Ben Saanane +255768078523, Adams Chagulani +255767137831,Juliana Shonza +255756359073, Habib Mchange +255762178678, Mtela Mwampamba +255755178927, Gwakisa Burton +255713316790, Eddo Makata +255757149043, Greyson Nyakarungu +255755023503, Deogratius Kisandu +255655025609, Exaud Mamuya +255767160685, Kisha saa 09:23 asubuhi hiyohiyo Zitto Kabwe kupitia namba yake ya simu +255756809535 aliwatumia shilingi 200,000/= Mkumbo Kitila +255754301908 na John Shibuda +255754465597
Tarehe 02/09/2012 saa 09:52 asubuhi, Zitto Kabwe kupitia +255713730256 aliwatumia shilingi 150,000/= wafuasi wa kundi lake, Ben Saanane +255768078523, Adams Chagulani +255767137831, Juliana Shonza +255756359073, Habib Mchange +255762178678, Mtela Mwampamba +255755178927, Gwakisa Burton +255713316790, Eddo Makata +255757149043, Greyson Nyakarungu +255755023503, Deogratius Kisandu +255655025609, Exaud Mamuya +255767160685, Kisha saa 10:43 asubuhi hiyohiyo Zitto Kabwe kupitia namba yake ya simu +255713730256 aliwatumia shilingi 200,000/= Mkumbo Kitila +255754301908 na John Shibuda +255754465597
Tarehe 20/09/2012 saa 10:19 asubuhi, Zitto Kabwe kupitia +255713730256 aliwatumia shilingi 150,000/= wafuasi wa kundi lake, Ben Saanane +255768078523, Adams Chagulani +255767137831, Juliana Shonza +255756359073, Habib Mchange +255762178678, Mtela Mwampamba +255755178927, Gwakisa Burton +255713316790, Eddo Makata +255757149043, Greyson Nyakarungu +255755023503, Deogratius Kisandu +255655025609, Exaud Mamuya +255767160685, Baada ya hapo saa 10:53 asubuhi hiyohiyo Zitto Kabwe kupitia namba yake ya simu +255713730256 aliwatumia shilingi200,000/= Mkumbo Kitila +255754301908 na John Shibuda +255754465597
Tarehe 24/10/2012 saa 11:18 asubuhi, Zitto Kabwe kupitia +255713730256 aliwatumia shilingi 150,000/= wafuasi wa kundi lake, Ben Saanane +255768078523, Adams Chagulani +255767137831, Juliana Shonza +255756359073, Habib Mchange +255762178678, Mtela Mwampamba +255755178927, Gwakisa Burton +255713316790, Eddo Makata +255757149043, Greyson Nyakarungu +255755023503, Deogratius Kisandu +255655025609, Exaud Mamuya +255767160685, Kisha saa 11:52 asubuhi hiyohiyo Zitto Kabwe kupitia namba yake ya simu +255713730256 aliwatumia shilingi 200,000/= Mkumbo Kitila +255754301908 na John Shibuda +255754465597
Tarehe 25/11/2012 saa 10:34 asubuhi, Zitto Kabwe kupitia +255713730256 aliwatumia shilingi 150,000/= wafuasi wa kundi lake, Juliana Shonza +255756359073, Habib Mchange +255762178678, Mtela Mwampamba +255755178927, Gwakisa Burton +255713316790, Eddo Makata +255757149043, Greyson Nyakarungu +255755023503, Deogratius Kisandu +255655025609, Adams Chagulani +255767137831, Exaud Mamuya +255767160685, Baada ya hapo saa 10:56 asubuhi hiyohiyo Zitto Kabwe kupitia namba yake ya simu+255713730256 aliwatumia shilingi 200,000/= Mkumbo Kitila +255754301908 na John Shibuda +255754465597
Tarehe 29/11/2012 saa 12:12 mchana, Zitto Kabwe kupitia +255713730256 aliwatumia shilingi 150,000/= wafuasi wa kundi lake, Juliana Shonza +255756359073, Habib Mchange +255762178678, Mtela Mwampamba +255755178927, Gwakisa Burton +255713316790, Eddo Makata +255757149043, Greyson Nyakarungu +255755023503, Deogratius Kisandu +255655025609, Adams Chagulani +255767137831, Exaud Mamuya +255767160685, Baada ya hapo saa 12:32 mchana huohuo Zitto Kabwe kupitia namba yake ya simu+255713730256 aliwatumia shilingi 200,000/= Mkumbo Kitila +255754301908 na John Shibuda +255754465597
Kundi hili lilikuwa na mipango mingi sana, lakini lengo/shabaha/dhamira ilikuwa ni moja tu nayo ni kukidhohofisha Chadema kwa manufaa ya ccm. Uthibitisho wa lengo la kundi hili unabainishwa katika mawasiliano ya simu kati ya Zitto na wanakikundi hicho, katika ujumbe wa maandishi (sms) aliousambaza kwa wanakikundi hiki Zitto anasisitiza umakini ili wasije kujulikana na Chama, vilevile anawasisitiza kukisajili kikundi hiki ikiwa ni pamoja na kufungua akaunti ya benki ya kikundi hiki,
Ujumbe mwingine aliousambaza tarehe 30/11/2012 saa 08:21 kwa wafuasi wa kundi hili kupitia namba +255713730256, unasema, “Ni lazima tukidhibiti hiki kibabu vile vile lazima tumng’oe Mbowe, Tunadanganyana tu kuwa chadema itaingia ikulu, kwanza simamieni harakati za kushinikiza kadi ya kibabu irudishwe ccm”.
Timu ya kijasusi imejiridhidha kuwa Ben Saanane alikuwa kwenye kundi hilo kwa kazi maalumu na ameisaidia sana timu hii ya ujasusi kupata habari muhimu za ndani za kundi hilo la uasi lililokuwa limejipanga kwa ustadi likitumia mbinu za kuwagombanisha viongozi wa juu wa chama hasa likilenga Mwenyekiti na Katibu mkuu, huku juhudi za kumkwamisha mwenyekiti wa BAVICHA nazo zikipamba moto na kusukwa kwa ustadi mkubwa, Kikundi hiki hakikuishia hapo tu kwani kilianzisha mradi wa kuwatukana viongozi wa Chadema na familia zao, kuanzisha tuhuma za uongo na kuzisambaza kwenye mitandao ya kijamii. Lilianzisha mradi wa kuhubiri udini, ukanda na ukabila ndani ya chama kwa kutumia vyombo vya habari na mitandao ya kijamii. Likaanzisha tena harakati za kumpindua mwenyekiti kupitia kifupi cha jina PM7 (Pindua Mbowe 7) nk.
MAPENDEKEZO YA HATUA ZA KUCHUKUA
Baada ya kujiridhisha kuwa Zitto Zuber Kabwe Mbunge wa Chadema na Naibu Katibu Mkuu wa Chadema, ameasi Chama na ameunda kundi ndani ya chama linaloendesha vuguvugu la mapinduzi kwa viongozi halali wa chama kwa ufadhiri wa chama tawala ccm, ikiwa ni kinyume cha katiba na itifaki za chama, Timu ya ujasusi inapendekeza yafuatayo:
Chama kijiridhishe bila ya kuacha chembe ya mashaka kutoka kwa wahusika wa kikundi hiki ambao ni Zitto na wenzake, Ikiwa watakiri kuhusika, Chama kiwaamuru wawaombe radhi wanachama.
Naibu Katibu mkuu ndugu Zitto Kabwe na Makamu Mwenyekiti wa BAVICHA ndugu Julina Shonza wapime wenyewe kama wanastahili kuendelea na nafasi zao za uongozi ndani ya Chama.
Ikiwa Chama kitaamua kuunda tume ya uchunguzi wa haya, wahusika wote hasa wenye vyeo kama Zitto Kabwe na Juliana Shonza wawekwe pembeni na shughuli za Chama ili kupisha uchunguzi huru.
Chama kiwavue uanachama Zitto Kabwe na kundi lake lote bila kusita, hii inatokana na mikakati ya kukiangamiza chama inayoendelea ndani ya CCM kwa ushirikiano wa Zitto Kabwe na viongozi waandamizi wa ccm.
Kuelekea 2015, Idara ya ujasusi ya chama iongezewe nguvu na mafunzo, ikiwezekana kiundwe kikosi maalumu nje ya timu ya kijasusi iliyopo sasa na kipewe mafunzo na vitendea kazi vya kutosha kwaajili ya ulinzi wa chama na viongozi wake.
Chama kianzishe utaratibu wa semina au mafunzo ya kipindi kifupi na kati kwa makada wake jinsi ya utumiaji wa mitandao ya kijamii.
Kiundwe kitengo cha propaganda za kisiasa chenye watu weledi wa mambo na masuala mbalimbali na kipewe uwezo ili kukabiliana na propanda za chama tawala na vyama vingine.
Chama kizidi kuchukuahatua stahiki za kimaamuzi dhidi ya viongozi au wanachama wanao dhoofisha harakati za mabadiliko kuelekea 2015 na baada ya 2015
Mwisho tunawashukuru baadhi ya maafisa wa kijasusi wa mjini Berlin Ujerumani waliosaidia kupata baadhi ya taarifa muhimu kutoka Ujerumani.
Mwisho tunawashukuru baadhi ya maafisa wa kijasusi wa mjini Berlin Ujerumani waliosaidia kupata baadhi ya taarifa muhimu kutoka Ujerumani.
Chanzo cha habari ni halihalisi255.wordpress.com
0 comments :
Chapisha Maoni