Hali ya Sintofahamau ilitokea wilayani Kyela siku a January 8 mida ya saa tisa alasiri katika mamlaka ya mji mdog na maeneo ya ofisi za CCM wilayani Kyela ambapo Askari wa kutuliza ghasia(FFU)kutoka jijini Mbeya ilibidi waingie kazini.
Hayo yalifanyika mbele ya Mbunge na Waziri wa Uchukuzi Dr.Harison Mwakyembe
Mtandao wako wa Nyumbani ukiongea na baadhi ya mashuhuda wa tukio hilo wametuhabarisha kuwa Vurugu hizo zimesababishwa na Kitendo cha Chama chA Mapinduzi kutaka kuongeza wajumbe wanne katika uchaguzi wa Baraza la Mji mdogo waKyela ambao ni pamoja na mbunge wa jimbo hilo Dr.Harison Mwakyembe na madiwani wa CCM watatu hivyo kuwa na wajumbe wa ziada wanne . Mashuhuda wamezidi kudpokeza kuwa sababu kubwa za Vurugu na Tfrani hizo zilizopelekea Mheshimiwa mbunge kutupiwa mawe ni;
Kwanza, Kisheria wajumbe hao wanaruhusiwa kuwa wajumbe wa Baraza la Mamlaka ya mji mdogo lakini hawatakiwa kushiriki katika kuunda Baraza hilo maana bado halijaundwa .
Pili, Kwanini upande wa Madiwani watatu wote watoke Chama Cha Mapinduzi?
Hata hivyo uchaguzi huo uliahirishwa ili wataalamu wa Sheria wakatafsiri upya Sheria na kuwezesha Barza la mji mdogo kuundwa. Katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa ndani ya mamlaka hiyo Chama cha Demikrasia na M,aendeleo kimetwaa viti 29 na Cham cha Mapinduzi kimetwaa viti 26 hivyo kuonesha waziwazi kuwa CHADEMA Inaweza kushinda na kuliongoza Baraza la Mamlaka ya mji mdogo Kyela.
Wakati huohuo MWAKYEMBE AWAONYA CHADEMA
Jana akizungumza na clouds FM amewataka Chadema kuacha ujinga wa kuchukua watu toka mkoa wa kilimanjaro na kwenda kupiga kambi Kyela.
Mh Mwakyembe amesema CHADEMA Kyela iache kuwatumia vijana toka Moshi waliopiga kambi Kyela!! Ameyasema haya wakati akihojiwa na Clouds kwenye Power Breakfast!!
Amesema ni ujinga kwa chama kikuu cha upinzani kuendelea kutumia wakazi wa mkoa wa kilimanjaro kukinadi chama kwani hawajui tamaduni za makabila mengine hivyo ipo siku wataumbuka.
Amedai kama si huruma yake wachaga hawa toka machame walioenda Kyela kumchafua angeweza kuwapoteza kabisa na amewakanya kutokufika tena jimboni huko kwa shughuli za kisiasa kwani licha ya kuwa anapendwa na wanakyela wenyewe pia Tanzania nzima inaona kazi anayoifanya hivyo si rahisi kulipta jimbo hilo kama wanavyodhani.
Amewataka kutafuta watu wasomi wanaojua statistics/Takwimu ili wawaelekeze mahali pa kwenda kwa kutumia Takwimu si wanakurupuka tu

0 comments :
Chapisha Maoni