TAREHE 19/4/2014 Historia inaenda kuandikwa wilayani Kyela "KYELA MISS EASTER 2014", Walimbwende na warembo kutoka wilayani Kyela wanaenda kupambana usiku wa leo kumpata mshindi. Tukio litaanza saa moja kamili usiku wa leo katika ukumbi wa SATIVA MIDLAND HOTEL,Washiriki wanamalizia session ya saloon tayari kwa kwenda kufanya mahojiano redioni"KYELA FM 96.0"
Kutoka hapo ndio mpambano utakapoanza rasmi.
na hatimaye Fanesti Asheri ametwaa taji la "KYELA MISS EASTER 2014" katika kinyang'anyiro kikali ambapo mrembo huyo amejinyakulia pesa taslimu Tsh 300000/= na offer ya kusoma ICT katika chuo cha MOSEMI College kilichopo wilayani hapa.mshindi wa pili amejinyakulia kiasi cha Tsh 200000/= na mshindi wa tatu kazawadiwa Tsh 150000/=
Miss Fanesti Ashery akiwa tayari keshatangazwa mshindi na tayari kukabidhiwa zawadi
...
0 comments :
Chapisha Maoni