Mbeya CIty FC yaingia Mkataba wa Udhamini na Kampuni ya Binslum Tyres CO. Ltd.. Mkataba huo ni wa Miaka Miwili wenye Thamani ya Tsh. Milioni 360.!! Mkataba umeanza Rasmi sasa., Kiasi hicho kitatolewa kila Mwezi kulingana na Makubaliano waliojiwekea
Chukua muda wako Tazama Picha zifuatazo kuhusu kile kilichojiri kwenye Kutia saini Mkataba wa Miaka Miwili kati ya Mbeya City FC na Kampuni ya Binslum Tyres CO. LTD Muda Mfupi uliopita kwenye Ukumbi wa Halmashauri ya Jiji la Mbeya... Mkataba huo umesainiwa na Mwanasheria wa Jiji la Mbeya Adv. James Bernod Kyando na Mkurugenzi wa Binslum Ndg Mohamed Ahmed Binslum.!!
Wakionesha mkataba kwa Waandishi wa Habari
Pichambili hapo juu ni Muonekano mpya wa jezio za Mbeya City Fc
Picha mbili hapo juu ni Mkurugenzi wa Binslum pamoja na Mwanasheria wa Halmashauri ya jiji la mbeya wakisaini mkataba huo.

0 comments :
Chapisha Maoni