Jumatano, 17 Juni 2015

Radio ya jamii Kyela Fm, inapenda kuwatangazia wananchi wote walio na sifa kuomba nafasi ya kazi,
Majukumu ya Mhariri:
1.Kukagua habari zote Kyela fm, zinazo letwa, andaliwa na kwenda hewani.
2.Kusimamia habari zote redioni.
3.Kusimamia vikao vyote vya habari (Editorial Meeting)
4.Kutoa taarifa ya kila wiki kwa meneja wa radio
4.Kusimamia maripota na wanafunzi watakao fanyamazoezi kwa vitendo redioni.
Sifa za Muombaji.
~Awe na cheti cha kuzaliwa
~Nakala halisi za vyeti vya taaluma yake
~Maelezo binafsi ya muombaji yaani CV yenye wadhamini watatu
~Uzoefu usiopungua miaka miwili (02) katika tasnia ya habari hasa kwenye chumba cha habari.
~Barua zote ziandikwe kwa Mkono.
Wale wote watakaochaguliwa ndio watakaoitwa kwenye usahili.
Mwisho wa kuleta maombi ni tarehe 30.06.2015 saa 10.00 kamili asubuhi!
Maombi yatumwe kwa Meneja Kyela FM Radio P.o.box 600 Kyela.
E-mail: manager.kyelafm@gmail.com
Tangazo hili limetolewa na uongozi wa Kyela fm
Imehaririwa na MARTIN EMANUEL(0769858521)

0 comments :

Chapisha Maoni